Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 31:
 
==Sayari za jua letu==
[[Picha:Sayari za jua letu.jpg|450px|thumb|Sayari katika mfumo wa jua,pamoja na nafasi ya [[Ceres]]]]
Jua letu lina sayari [[nane]] ambazo ni [[Utaridi]] ''(Mercurius)'', [[Zuhura]] (pia: Ng'andu; ''Venus''), [[Dunia]] yetu ''(Earth)'', [[Mirihi]] ''(Mars)'', [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturnus)'', [[Uranus]] na [[Neptun]]. Toka mwaka [[1930]] hadi Agosti [[2006]] [[Pluto]] ilikuwa ikitambulika kama sayari hivyo kufanya idadi ya sayari zinazojulikana kuwa [[tisa]]. Hata hivyo chama chenye [[mamlaka]] juu ya masuala ya sayari na nyota, [[International Astronomical Union]] kimetangaza rasmi kuwa Pluto si sayari na kuiita [[sayari kibeti]].