Mnururisho sumakuumeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Mawimbi yenye lukoka (''wavelength'') fupi ni mnururisho wa [[ioni|kuioniza]] na hivyo hatari kwa viumbehai kuanzia kiwango fulani, hasa gammarei na eksirei. Hata mnururisho wa urujuanimno ina hatari unaweza kusababisha [[mbabuko wa jua]] (ing. ''sunburn'') kwenye ngozi ha hata [[kansa]].
 
Pande mbalimbali za spektra ya sumakuumeme zinatofautiana kwa [[masafa ya mawimbi]] (''wavelenghth''), [[marudio]] (''frequency'') na kiwango cha nishati zinazosafirisha.