Iwiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 23:
 
==Kijiji cha Izyira==
Kijiji cha Izyira kikokimepewa hadhi ya kuwa kata inayojitegemea mwaka 2014 ikiwa imetokea baada ya kugawa kata ya Iwiji ambapo mwanzo kijiji hiki kilikuwa kipo kata ya Iwiji. Kijiji hiki kinapakana na kijiji IbezaIbezya cha [[wilaya ya Ileje]] kusini mashariki, kusini kinapakana na [[Wilaya ya Mbozi]] vijiji vya Hezya na kijiji cha cha Namwangwa na kuendelea mpaka magharibi kijiji cha Haraka na Idiwili kaskazini kuna kijiji cha Iwiji na safu ya milima Mbeye na mlima Makungulu iliyoambatana na msitu MagMang'onga na msitu Mbogho.
 
Misitu hii ni muhimu kwa kuwa ndicho chanzo kikuu cha mito mikuu mitatu ambayo ni Mto Magole, Mto Salaga na Mto Mafumbo. Mito hii ndio chanzo pekee ambayo inashiliainashikilia asilimia 85% ya kilimo cha umwangiliaji wa vijiji vyote katika ukanda wa vijiji vyote vilivyovitajwa hapo juu kuwa jirani ya IsyiraIzyira.
 
Izyira hukaliwa na makabila matatu ya [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wamalila]]. Kijiji hiki kuna mila na desturi zake kikiongozwa na mila za kijadi. Kiongozi akiitwa mwene wa ukoo wa Mwazembe. Kati ya Wakristo kuna hasa madhehebu yaliyo kwenye jumuiya ya CCT. Kijiji hiki kina shule tatu. Izyira ni shule mama iliyoanzaishwa mnamo miaka ya 1957 kwa mfumo wa shule za TAPA iliyoanza na mwalimu mzawa Winfred Mtindo Mwazembe baadaye zilianzishwa shule mbili kutokana na ongezeko la watu ambazo ni Mwenge na shule ya msingi Masewe. Pia wananchi katika mfumo wa kila kata kujenga shule ya sekondari kijiji kama kijiji walijenga shule ya sekondari ya kijiji kwa mpango wa kijitolea pamoja na kuwa na shule ya sekondari ya kata ambayo ipo makao ya kata pale Iwiji pia mwaka 2009 shule ya sekondari ilifunguliwa katika kijiji cha Izyira mwezi April 29 chini ya mkuu wa shule Godlove Ngonde
 
Kijiji hiki kinahudumiwa na barabara kuu kutoka mbalizi ikipitia vijiji vifuatavyo mbalizi Izumbwe I, Mganjo, Isangati Santilya, Shipongo, Ilembo, Italazya, Shigamba, Izumbwe II. Iwiji barabara inagawanyika, kushoto inakwenda makao makuu ya Wilaya ya Ileje yaani Itumba na kulia barabara hii ndiyo inakwenda moja kwa moja Izyira hatimaye huendelea Wilaya ya Mbozi kupitia vijiji vya Hezya, ,Nyimbili, Ilengo, Shumba, Hasamba na kuungana tena na barabara kuu ya Dar es Salaam mpaka Zambia pale makao mkuu ya Wilaya ya Vwawa.
 
Chakula chao kikuu kinatokana na mazao yaani mahindi, ndizi na viazi vitamu. Zao la biashara ni kahawa. Mito mitatu hupitia kijiji hiki, mto Magole upo mashariki sambamba na kijito kidogo kiitwacho Itaga katikati kuna kijito kingine Salaga magharibi kuna mto mkubwa Mafumbo na magharibi kuna kijito kingine shongo . Mito yote hii ndio chanzo kikuu cha uzalishaji wa chakula cha wakaaziwakazi wa kijiji cha Izyira na vijiji vya jirani mito hii mkubwa miwili yaani Magole na Mafumbo ikisaidiana na vijito hivi kutiririshahutiririsha maji mwaka mzima. Muungano wa mito hii miwili hufanya mto mmoja unaokwenda kusini kupitia karibu sana na Itumba kuungana na [[mto Songwe]] ulio kama mpaka wa Tanzania na Malawi. Kuna milima mkubwa mitatu kaskazini ambayo ni Mlima Mbeye, kaskazini magharibi Mlima Makungulu na magharibi kuna Mlima Mwira. Katika milima hii kuna misitu minene ambayo ndio maji ya mito hii huanzia katika misitu hiyo.
Kutokana na ongezeko la watu misitu hii miaka ya karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa na kusababisha mito hii kupungua sana tena sana kwa ujazo wa maji na kusababisha kupungua kwa kiwango cha unyeshaji wa mvua, kama hatutakuwa na mkakati wa kuzuia uharibifu huu wa misitu hii msitu MaghMang'onga na msitu Mbogho upo uwezekano wa mito hii kukauka na kusababisha hali mbaya kwa vijiji vyote vinavyopata huduma ya maji ya mito hii mikubwa si IZYIRA tu hata WILAYA jirani kama ILEJE na Mbozi.
 
Kijiji hiki, pamoja na kuwa na vitongoji kumi vinahudumiwa na zahanati moja tu.
Kata ya Izyira ina Jumla ya vijiji vinne ambavyo ni Izyira, Masewe, Inuka na Mapita ikiwa ni kijiji kilichotokea baada ya kugawa kijiji cha Izyira
 
==Marejeo==
{{marejeo}}