Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Mfumo wa nyota: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Position Alpha Cen.png|thumb|300px|right|Mahali pa Rijili Kantarusi - Alpha Centauri katika kundinyota ya KentaurusKantarusi]]
 
'''Rijili Kantori''' , '''Rijili Kantarusi''' au [[ing.]] ''Alpha Centauri''' ''(pia: Toliman au Rigil Kentaurus)'' ni [[nyota]] inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye [[kundinyota]] ya [[Kantarusi]] ''(pia: [[ing.]] [[:en:Centaurus|Centaurus]])''. Ni nyota ya kungaa sana ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunia ya kaskazini.
 
Alpha Centauri ni nyota ya pekee kwa sababu ni nyota yetu jirani katika anga ina umbali wa [[miaka ya nuru]] 4.2 - 4.2.
 
== Mfumo wa nyota tatu==
[[Picha:Alpha Centauri relative sizes.svg|thumb|right|Uhusiano wa ukubwa wa nyota za KentaurusKantarusi na jua letu]]
 
Rijili Kantarusi (Alpha Centauri) niinaonekana sehemukama yanyota moja lakini kwa darubini kubwa inaonekana kuwa mfumo wa nyota tatu zinazokaa karibu na kushikamana kati yao. Nyota mapacha za Alpha Centauri A na Alpha Centauri B ziko miaka ya nuru 4.36 kutoka kwetu na nyota ya tatu Alpha Centauri C au [[Proxima Centauri]] ina umbali wa miaka ya nuru 4.22.
 
Proxima Centauri (yaani nyota ya Kantarusi iliyo karibu zaidi nasi) imegunduliwa kuwa na [[sayari]] moja. Vipimo vinavyopatikana hadi sasa zinaonyesha uwezekano mkubwa ya kwamba sayari hii ni ya mwamba (kama dunia yetu, [[Mirihi]] au [[Zuhura]]) na inaweza kuwa na [[angahewa]], tena katika upeo wa joto unaoruhusu kuwepo kwa uhai. <ref>[https://phys.org/news/2017-05-scientists-tentative-explore-potential-climate.html Scientists take first tentative steps to explore potential climate of Proxima B], tovuti ya phys.org ya May 16, 2017 </ref>
 
==Marejeo==
<references/>
 
Alpha Centauri ni sehemu ya mfumo wa nyota tatu. Nyota mapacha za Alpha Centauri A na Alpha Centauri B ziko miaka ya nuru 4.36 kutoka kwetu na nyota ya tatu [[Proxima Centauri]] ina umbali wa miaka ya nuru 4.22.
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Nyota]]