Amiens ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Picardie nchini Ufaransa.

Sehemu ya mji wa Amiens


Amiens
Nchi Ufaransa
Mkoa Picardie
Wilaya Somme
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 136 105
Tovuti:  www.amiens.fr
Mahali pa Amiens katika Ufaransa

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 270,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 14-106 juu ya usawa wa bahari.

Historia hariri

Jiografia hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amiens kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.