Cecilia Alvarez

Msanii wa Marekani

Cecilia Alvarez (alizaliwa Aprili 15, 1950) ni msanii wa Chikana wa Marekani anayejulikana zaidi katika mtindo wake wa upakaji wa mafuta ambapo ilikuwa inayoonyesha maudhui ya mwanamke, umaskini, na uharibifu wa mazingira katika nchi ya Marekani na Amerika ya Kilatini[1]

Mchoro wa Alvarez unaojulikana kama Las Cuatas Diego umeangaziwa katika vitabu na maonyesho kote ulimwenguni.[2]

Marejeo hariri

  1. "Daughters of Immigration: Cecilia Alvarez, Tatiana Garmendia, and Blanca Santander | M. Rosetta Hunter Art Gallery". artgallery.seattlecentral.edu. Iliwekwa mnamo 2020-03-31. 
  2. "Winter/Spring 2001: So to Speak". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 13, 2005.  Check date values in: |archivedate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Alvarez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.