John Carew Eccles (27 Januari 19032 Mei 1997) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Australia. Hasa alichunguza mawasiliano ya neva. Mwaka wa 1963, pamoja na Alan Hodgkin na Andrew Huxley alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Alipewa cheo cha "Sir".

John Carew Eccles & Cyril Höschl
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Eccles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.