Kiinor ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wainor. Idadi ya wasemaji wa Kiinor imehesabiwa kuwa watu 280,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiinor iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiinor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.