Mila ni mji wa kaskazini-mashariki mwa Algeria na mji mkuu wa wilaya ya Mila.

Mila.
Mila.

Zamani, ulijulikana kama Milevum au Miraeon, (kwenye Ugiriki ya kale) na ulikuwa katika Dola la Roma, mkoa wa Numidia.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mila, Algeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.