Nusufamilia (kwa Kilatini: subfamilia, wingi subfamiliae) katika uainishaji wa kisayansi ni ngazi ya kati chini ya familia lakini juu ya jenasi. Majina sanifu ya kundi hilo yanaishia "-oideae" katika mimea,[1] na "-inae" katika wanyama.[2]

Vyanzo hariri

  1. McNeill, J.; Barrie, F.R.; Buck, W.R.; Demoulin, V.; Greuter, W.; Hawksworth, D.L.; Herendeen, P.S.; Knapp, S.; Marhold, K.; Prado, J.; Prud'homme Van Reine, W.F.; Smith, G.F.; Wiersema, J.H.; Turland, N.J. (2012). International Code of Nomenclature for algae, fungi, and plants (Melbourne Code) adopted by the Eighteenth International Botanical Congress Melbourne, Australia, July 2011. Regnum Vegetabile 154. A.R.G. Gantner Verlag KG. ISBN 978-3-87429-425-6. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 2020-05-10.  Article 19.
  2. International Commission on Zoological Nomenclature (1999). "Article 29.2. Suffixes for family-group names". International Code of Zoological Nomenclature (toleo la Fourth). International Trust for Zoological Nomenclature, XXIX. uk. 306. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-21. Iliwekwa mnamo 2020-05-10. 
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusufamilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.