Sumbawanga Vijijini

Wilaya ya Sumbawanga ni wilaya mojawapo kati ya 4 za Mkoa wa Rukwa.

Mahali pa Sumbawanga Vijijini katika mkoa wa Rukwa.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 373,080 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 494,330 [2].

Marjeo hariri

  Kata za Wilaya ya Sumbawanga VijijiniMkoa wa Rukwa - Tanzania  

Ikozi | Ilemba | Kaengesa | Kalambanzite | Kalumbaleza | Kanda | Kaoze | Kapenta | Kasanzama | Kilangawana | Kipeta | Laela | Lusaka | Lyangalile | Mfinga | Miangalua | Milepa | Mnokola | Mpui | Mpwapwa | Msandamuungano | Mtowisa | Muze | Mwadui | Nankanga | Sandulula | Zimba


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sumbawanga Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.