Viti vya outdoor bean bags
Kiti cha outdoor bean bags ni cha kifahari mno na ambacho sana sana huwa kwa nje ya nyumba ambapo watu hukalia huku wakigana ngano na kuhadithiana kulingana na vile wameshinda kwa siku. Kiti hiki huwa kimetengenezwa na kitambaa laini na vitu vingine vyororo ambavyo hukifanya kiti hiki kiwe cha kufurahisha kwa ustarehe wake.
Matumizi cha outdoor bean bags
Kiti cha outdoor bean bags chaweza kutumika kwa nje wakati watu wanaenda kwa ziara au camp ya nje. Hata hivyo, yafaa uwe mwangalifu sana isije kwamba kiti kikatumika kunako na hewa mbaya yenye mvua maana kiti kitaharibika.