Themogenesisi

Pitio kulingana na tarehe 14:19, 6 Januari 2018 na Jimmwandishi (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Themogenesisi ambayo imetoholewa kutoka jina thermogenesis ni hali ya kutoa joto kwa miili ya wanyama ambao huwa hawategemei hali ya anga...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Themogenesisi ambayo imetoholewa kutoka jina thermogenesis ni hali ya kutoa joto kwa miili ya wanyama ambao huwa hawategemei hali ya anga ili wapate joto (warm blooded animals). Hali hii ya thermogenesis hufanyika hata kwa mimea kama Eastern skunk vegetable, Vodoo lily na mingine.

Aina ya themogenesisi

Kuna aina tatu za themogenesisi ambazo ni:

  1. themogenesisi inayoletwa na kufanya mazoezi
  2. themogenesisi isiyotegemea mazoezi
  3. themogenesisi inayoletwa na vyakula
 
Themogenesisi

Kutetemeka

Njia moto ya kuleta themogenesisi ni kutetemeka ambako kawi ya ATP hubadilishwa na kuwa joto mwilini.

Themogenesisi bila kutetemeka

Kwa wanyama wasiotetemeka, themogenesisi yao hudhibitiwa na homoni ya thirodi

Themogenesisi ya vyakula (dieti)

Vyakula kama vile kahawa na chai husababisha themogenesisi na kupasha mwili joto. Wanaotengeneza dawa za kupunguza uzito mwilini kama phenq hutumia ujuzi huu ili unapopasha mwili joto, mafuta yayeyuke.

Viungo vya Nje

https://www.webmd.com/diet/news/20000322/drinking-green-tea-may-help-you-lose-weight

http://phgardencity.com/phenq-review/