Themogenesisi
Themogenesisi (kutoka jina la Kiingereza thermogenesis) ni hali ya kutoa joto kwa miili ya wanyama ambao huwa hawategemei hali ya hewa ili wapate joto (warm blooded animals).
Hali hii ya thermogenesis hufanyika hata kwa mimea kama Eastern skunk vegetable, Vodoo lily na mingine.
Aina za themogenesisi
haririKuna aina tatu za themogenesisi ambazo ni:
- themogenesisi inayoletwa na kufanya mazoezi
- themogenesisi isiyotegemea mazoezi
- themogenesisi inayoletwa na vyakula
Kutetemeka
haririNjia moto ya kuleta themogenesisi ni kutetemeka ambako kawi ya ATP hubadilishwa na kuwa joto mwilini.
Themogenesisi bila kutetemeka
haririKwa wanyama wasiotetemeka, themogenesisi yao hudhibitiwa na homoni ya thirodi
Themogenesisi ya vyakula (dieti)
haririVyakula kama vile kahawa na chai husababisha themogenesisi na kupasha mwili joto. Wanaotengeneza dawa za kupunguza uzito mwilini hutumia ujuzi huu ili unapopasha mwili joto, mafuta yayeyuke.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Themogenesisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |