Machimbo ya Chumvi Uvinza

Machimbo ya chumvi uvinza, (Uvinza Salt Works kwa Kiingereza) ni migodi ya chumvi ambayo imekuwa ikitumika tangu zama za Chuma. Kuna chemchemi nyingi za madini ya chumvi katika eneo hilo. Eneo hili lipo katika mji wa Uvinza katika wilaya ya Uvinza Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania. [1]

Katika Afrika Mashariki, machimbo haya ni moja kati ya maeneo ya zamani sana, tokea zama za chuma, na ni urithi wa uchimbaji wa Chumvi kutokea Uvinza. [2]

Marejeo

hariri
  1. "Uvinza Salt Works", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-06-18, iliwekwa mnamo 2024-10-12
  2. Sutton, J. E. G.; Roberts, A. D. (1968-01). "Uvinza and its Salt Industry". Azania: Archaeological Research in Africa (kwa Kiingereza). 3 (1): 45–86. doi:10.1080/00672706809511487. ISSN 0067-270X. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)