Mackenzie Arnold
Mackenzie Arnold (alizaliwa 25 Februari 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[2] na timu ya taifa ya Australia.[3]
Marejeo
hariri- ↑ "Mackenzie Arnold | Matildas". www.matildas.com.au (kwa Kiingereza). 2017-07-31. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
- ↑ "'The disrespect'- Matildas goalkeeper Mackenzie Arnold handed surprise midfield cameo in West Ham rout | Sporting News Australia". www.sportingnews.com (kwa Australian English). 2021-04-19. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
- ↑ "Australia - M. Arnold - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". my.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mackenzie Arnold kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |