Madauros (pia Madaurus, Madaura) ilikuwa mji wa Kirumi na dayosisi ya zamani ya Kanisa Katoliki katika jimbo la zamani la Numidia ambayo kwa sasa ni Algeria.

Madauros, 1975

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Madauros kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.