Madi Pictures
kampuni na studio ya ukaragushi
Madi Pictures (zamani Madi Revolution) ni kampuni na studio ya ukaragushi kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo hufanya huduma kadhaa katika sanaa ya upigaji picha, uhariri wa picha na video, utangazaji wa dijiti na utengenezaji wa filamu.[1] Kampuni hiyo ni mmiliki wa kituo cha televisheni cha Madi TV.
Madi Pictures | |
---|---|
Jina la kampuni | Madi Pictures |
Ilianzishwa | 2011 |
Mwanzilishi | Christophe Madihano |
Huduma zinazowasilishwa | Utengenezaji na Uuzaji |
Mmiliki | Christophe Madihano Christian Madihano |
Aina ya kampuni | Kampuni ya kibiashara |
Makao Makuu ya kampuni | Goma,Kivu Kaskazini |
Bidhaa zinazosambazwa na kampuni hii | Uzalishaji wa sauti na kuona Studio ya kurekodi Matangazo ya kidijitali |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Tovuti | Madi Pictures |
Wanachama Waanzilishi
hariri- Christophe Madihano
- Christian Madihano
Marejeo
hariri- ↑ "Goma : La Maison Madi Pictures fait des clichés caricaturés pour soutenir les FARDC dans toutes les zones opérationnelles MNCTV". MNCTV CONGO (kwa Kifaransa). 2020-05-14. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-24. Iliwekwa mnamo 2022-03-13.
Viungo vya nje
hariri- Madi Revolution kwenye Music In Africa
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Madi Pictures kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |