Maendeleo Vijijini
Maendeleo Vijijini kwa jumla hutumika kuashiria matendo na juhudi zilizochukuliwa ili kuboresha hali ya maisha katika vitongoji zisizo Mjini, vijijini, na vijiji vilivyo mbali Jumuiya hizo zinaweza kuelezewa kwa uwiano wa wenyeji kwa nafasi iliyowazi. Shughuli za kilimo zinaweza kuwa maarufu katika kesi hii ambapo shughuli za kiuchumi zinahusiana na sekta ya uzalishaji wa vyakula na malighafi.
Vitendo vya Maendeleo
haririVitendo vya Maendeleo vijijini huwa na lengo zaidi katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya maeneo. Mipango hii kwa kawaida huwa juu-chini kutoka mikoa ya mitaa au mamlaka, mashirika ya maendeleo ya kikanda, NGO , serikali ya kitaifa au ya kimataifa na mashirika ya maendeleo. Lakini basi, wakazi wanaweza pia kuleta mipango maalum ya maendeleo. Tamko hili halitumiki tu katika na masuala ya nchi zinazoendelea. Kwa kweli nyingi ya nchi zilizoendelea wana mipango ya maendeleo vijijini inayofanya kazi.Lengo kuu la sera ya serikali ya vijijini ni kuendeleza vijiji vilivyo nyuma. Kuendeleza nchini siyo tu kuendeleza sekta ya viwandani pia kila mtu anafaa kuishi.
Vikundi vya maendeleo vijijini
hariri- Kituo cha Kilimo na Ushirikiano Vijijini ACP-EU (CTA) Mtoa habari ya Kilimo vijijini
- Kundi la Maendeleo Vijijini (RD) la Idara ya Kilimo Marekani(USDA RD)
- Baraza ya Maendeleo Vijijini Archived 16 Mei 2008 at the Wayback Machine. (RDC) ya Ireland ya Kaskazini
- Mipango ya Maendeleo Vijijini Uingereza na DEFRA
- Mipango ya Maendeleo Vijijini nchini Pakistan
- The George Foundation, Uhindi
- Maendeleo ya kilimo & Jamii ya Mafunzo , Uhindi
- Dunia Kijiji : Shirikisho la Maendeleo ya Kijiji
- Maendeleo Vijijini, DPAP, mpango wa miaka mitano, Pradan mantri gramu sadak yojna nk, Uhindi