Mahathir Mohamad (amezaliwa 10 Julai, 1925) ni Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia (1981-2003, 2018-2020). Aliongoza maendeleo ya haraka ya kiuchumi ya Malaysia wakati wa uongozi wake na alijulikana kwa kuzungumza kwa niaba ya nchi za dunia ya tatu.

Mahathir Mohamad

Mahathir Mohamad
Amezaliwa 10 Julai, 1925
Kazi yake waziri mkuu wa Malaysia
Mahathir Mohamad (2003)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahathir Mohamad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.