Maia Sandu
Rais wa Moldova tangu 2020
Maia Sandu (alizaliwa 24 Mei 1972) ni mwanasiasa wa Moldova ambaye amekuwa Rais wa Moldova tangu tarehe 24 Desemba 2020. Ndiye mwanzilishi na kiongozi wa zamani wa Chama cha Kitendo na Mshikamano (PAS). Awali, alihudumu kama Waziri Mkuu wa Moldova kuanzia tarehe 8 Juni 2019 hadi 14 Novemba 2019, wakati serikali yake ilipoanguka baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Maia Sandu este noul prim-ministru al Republicii Moldova" [Maia Sandu is the new Prime Minister of the Republic of Moldova.]. protv.md (kwa Kiromania). 8 Juni 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Septemba 2019. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Călugăreanu, Vitalie (12 Novemba 2019). "Guvernul condus de Maia Sandu a fost demis. Dodon se apucă să-și facă propriul cabinet" [The government led by Maia Sandu has been dismissed]. Deutsche Welle. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 5 Februari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tanas, Alexander (12 Novemba 2019). "Moldova's fledgling government felled by no-confidence vote". Reuters. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Novemba 2019. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maia Sandu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |