Majadiliano:Abela Paul Bateyunga

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala

Makala iliyoanzishwa haionyeshi kama mhusika au miradi yake yana umaarufu wowote, inataja nafasi zake katika shirika mbalimbali bila kutaja hata kidogo kama kuna matokeo yoyote kutoka kazi yake au kazi ya taasisi hizi. Kipala (majadiliano) 20:45, 13 Septemba 2018 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Abela Paul Bateyunga ".