Majadiliano:Aina za ufahamu

Hatua/vipengele vya uandishi wa barua rasmi/barua ya kikazi kwanza ni Anuani ya mwandishi, pili ni tarehe ya kuandikwa, tatu ni kumbukumbu namba kama ipo, nne ni cheo na anuani ya mwandikiwa, tano mwanzo wa barua, sita kichwa cha barua, saba barua yenyewe/kiini cha barua/lengo la barua, nane mwisho wa barua, tisa sahihi ya mwandishi, kumi jina la mwandishi, kumi na moja cheo cha mwandishi kama kipo, kumi na mbili mawasiliano ya mwandishi.

Lakini pia zipo aina mbalimbali za uandishi wa barua hizi, baadhi ya njia hizo ni; njia ya mshazari(extended style letter writing) njia ya kuyapanga maandishi bila mshazarikwa kufuata pambizo (block style letter writing)

Start a discussion about Aina za ufahamu

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Aina za ufahamu ".