Aina za ufahamu zilizo kuu ni tatu: ufahamu wa kusoma, ufahamu wa kusikiliza na ufahamu wa kuona.

Ufahamu wa kusoma: hapa mtu hupata ufahamu wa jambo fulani kwa kusoma magazeti, barua, n.k.

Ufahamu wa kusikiliza: mtu hupata ufahamu kwa kusikiliza redio, hadithi, n.k.

Ufahamu wa kuona: mtu hupata ufahamu wa jambo kwa kuona mwenyewe tukio.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aina za ufahamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.