Majadiliano:Alumniportal Deutschland

Latest comment: miaka 11 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Hivi hizi bot za interwiki siku hizi zinafanya kazi? Maana'ke tangu kuanza kwa Wikidata kumekuwa na majanga kweli ya kutowekupo na viungo vya interwiki katika makala chungumzima. Kama kiungo hauweki mwenyewe kule Wikidata - sidhani kama vitakuja tena! Wametupa kazi kweli katika suala hili la Wikidata. Daaah!--MwanaharakatiLonga 05:21, 27 Juni 2013 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Alumniportal Deutschland ".