Karibu Katika Ukurasa wa Majadiliano!

Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.Ndugu Muddy, karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Kuna kazi nyingi. Naomba uangalie makala ya "Msaada wa kuanzisha makala" (utaipata pia kwa kubonyeza "msaada" hapo upande wa kushoto). Ukiwa na swali lolote uliza tu. Wakati huu ni hasa Oliver, Ndesanjo pamoja nami walio tayari kusaidia. --Kipala 17:17, 24 Agosti 2007 (UTC)Reply


Namna ya kuanzisha vigezo mbalimbali ikiwemo infobox

Habari ndugu @Muddyb Natumaini wewe ni mzima, ninaomba unielekeze namna ya kuanzisha vigezo mbalimbali. Asante. Justine Msechu (majadiliano) 15:38, 11 Julai 2023 (UTC)Reply

Kumbe sijakujibu. Ilikuwaje? Haya, unataka vigezo gani? Njia rahisi kufikia hapa wakati ni mwingine ni kutumia email. Ninapekua habari zenu kwa sababu ya Usergroup. Muddyb Mwanaharakati Longa 12:41, 13 Desemba 2023 (UTC)Reply

MISC

Salamu Muddyb! Tafadhali ondoa Utawala, IA, Haki za Mtayarishaji Akaunti na Urasimi.

Ameniomba kufanya hivyo Tumbuka Arch lakini mimi sijui kufanya. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:57, 19 Septemba 2023 (UTC)Reply

Afrika Kusini

Hello Muddyb, how are you? Could you please add {{African Union}} to Afrika Kusini, like I did for some other African countries, since the page is protected? Best regards, SpesBona (majadiliano) 19:45, 3 Desemba 2023 (UTC)Reply

Hello there. Sorry for the delay. You can add now. I have unprotected the page.--Muddyb Mwanaharakati Longa 12:26, 13 Desemba 2023 (UTC)Reply
Hello Muddyb, thanks a lot! @Riccardo Riccioni: was so kind and did this already. What about the relations between Eastern and Southern Africa, especially in sports? I am very active on Afrikaans and German Wikipedia and two of my main topics are cricket and rugby. In East Africa I know about Kenyan and Ugandan cricket and rugby, the second hot spot for these sports in Africa alongside South Africa, Zimbabwe and Namibia. Uganda qualified some weeks ago for the en:2024 ICC Men's T20 World Cup, equally for they first international cricket tournament. Kenya was one of the best teams 20 years ago, by reaching the semi final of the en:2003 Cricket World Cup. Some Kenyans may known Steve Tikolo as a cricket legend. Both countries have some rivalry in both sports and they know very well. Here on Swahili Wikipedia I tried something and added content to kriketi and raga. I think some articles about national teams and tournaments could also be nice. With Swahili, we can reach at least six African countries. E.g. the Rwandan government support woman cricket as they are a member of the Commonwealth. What do you think? SpesBona (majadiliano) 18:45, 20 Desemba 2023 (UTC)Reply
Looks great to me. Keep up the good work. Holla me up anytime when you something.... Peace and love!  Muddyb Mwanaharakati Longa 06:53, 28 Desemba 2023 (UTC)Reply
Okay, let's give it a try. First, I added [[Kigezo:Infobox cricketer]] to the articles Steve Tikolo and Maurice Odumbe. I tried my best to keep these informations in Swahili, but this template itself is in English. My knowledge of Swahili are only some words and I don't know how good works Google Translate for Swahili. Kenya national cricket team is Timu ya kriketi ya Kenya in Swahili. But I don't know the rest. We can still try something. All the Best for 2024! SpesBona (majadiliano) 20:25, 28 Desemba 2023 (UTC)Reply
Here comes the problem. I dunno the meaning of most of the cricket terminologies. I may not be able to understand the actual mean. However, I will give it a try. Muddyb Mwanaharakati Longa 10:07, 4 Januari 2024 (UTC)Reply
Happy New Year 2024 for you! No problem, I can explain them for you. It would be interesting which terms in Swahili are used. English ones like in German or own terms like in Afrikaans. I think it depents on the history of cricket in Eastern Africa. In South Africa, it is played since almost 200 years. In Kenya, it dates back to 1899. That could be long enough to etablish own terms in Swahili, I'll guess. SpesBona (majadiliano) 22:00, 5 Januari 2024 (UTC)Reply

Majedwali ya nchi

Ndugu, naomba msaada wako. Kisare alibadilisha Infobox country kuwa Jedwali la nchi. Sikatai kwamba ameweza kuboresha, lakini sasa kurasa nyingi sana na muhimu za nchi zina jedwali lisilosomeka (Infobox with no data rows). Tufanye nini? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:10, 11 Mei 2024 (UTC)Reply

Ubaya wa kufanya vitu bila kushirkiana na wenzako matokeo yake ndiyo haya. Hebu ngoja nitazame. Nikiona mambo ni mengi, ninarudisha umbo lake halisi. Pole kwa kuchelewa kujibu. Muddyb Mwanaharakati Longa 07:11, 15 Mei 2024 (UTC)Reply
Mimi niliogopa kuchukua hatua kali namna hiyo! Jamaa ana uwezo mzuri, shida yake ushirikiano! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:28, 15 Mei 2024 (UTC)Reply
Ni kweli. Maarifa anayo mazuri. Shida kubwa mjivuni. Katika kazi za jumuia kama hizi, ni lazima watu mshirkiane. Nje ya hapo ni kuharibu mradi mzima. Vile viungo alivyochezea ni vikubwa sana. Itahitaji kila makala ubadili. Pia angeweza kuwasiliana na jumuia tukaamua kwa pamoja. Badala ya kufanya mtu mmoja. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:56, 15 Mei 2024 (UTC)Reply
Habari zenu. Nadhani kwamba inaweza kutatuliwa kwa kuendesha (kwa muda) vigezo viwili: "Kigezo:Jedwali la nchi" na "Kigezo:Infobox country". "Kigezo:Jedwali la nchi" kitakuwa toleo jipya, yaani kile nilichoumba. "Kigezo:Infobox country" kitakuwa toleo la zamani. Hivyo, makala zinazotumia "jedwali la nchi" zitaendelea kutenda vizuri, na makala zinazotumia "infobox country" pia zitaendelea kutenda vizuri. Ingalifaa kama ningalifanya hiyo mwanzoni.
Baada ya muda fulani, tunaweza kubadili makala zote ili zitumie kigezo kipya (jedwali la nchi) badala ya kigezo cha zamani (infobox country). Kisare (majadiliano) 21:34, 21 Mei 2024 (UTC)Reply
Sawa, nimethibitisha kwamba badiliko hilo limetatua suala. Kwa mfano: Tanzania n.k. Tunahitaji kungoja hadi ghili (cache) imesasishwa. Unaweza kusasisha ghili ya makala kwa mikono hapa: Maalum:Purge. Baada ya kusasisha ghili, utaona jedwali la nchi la makala limetengenezwa. Kisare (majadiliano) 23:37, 21 Mei 2024 (UTC)Reply
Unaweza kuandaa kama tamrini ili tushughulikie kwa pamoja kubadili hizo makala zenye umbo la kale kwenda jipya? Au unaona inawezekana kufanya mabadailiko ya jedwali la nchi zote. Au tugawane kwa kanda. Afrika, watu hawa waboreshe mashariki, hawa magharibi, hawa kusini na kadhalika. Hii itapunguza mzigo kwa mtu mmoja kufanya yote. Ukiona muda unaruhusu, unaweza kuendelea. Au upange hili zoezi kwa watu utakaoshirikiana nao. Muddyb Mwanaharakati Longa 03:51, 22 Mei 2024 (UTC)ReplyGFDL

Hi! You have uploaded some files and licensed them {{GFDL}}. The template had disclaimers so I changed the license template to {{GFDL-with-disclaimers}} and removed the disclaimers from {{GFDL}}.

Disclaimers should be avoided so if you would be willing to remove the disclaimers please just change back to {{GFDL}}.

Also if some files are licened GFDL only perhaps you would also add {{Cc-by-sa-all}}? --MGA73 (majadiliano) 11:06, 18 Mei 2024 (UTC)Reply

Wow! Thanks for info. Happily to change it as instructed. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:14, 3 Julai 2024 (UTC)Reply

Wakabidhi

Ndugu, katika Wikipedia yetu wakabidhi ni 13, lakini orodha zinaonyesha 17. Mojawapo ni Abuse filter. Kwa nini idadi imebaki ile ya zamani, kabla ya kufariki Kipala na kuondolewa wengine? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:31, 6 Julai 2024 (UTC)Reply

Ndugu Riccardo, salama?
Orodha ya Wakabidhi ni hii hapa;
Unataka tuondoe wezo za nani na nani hapo?
Kwa uchache;
1. Kipala
2. SJ
3. Manguboy
4. Ndesanjo Muddyb Mwanaharakati Longa 12:39, 6 Julai 2024 (UTC)Reply
Ili kupata orodha kamili, tazama; https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:OrodhayaWatumiaji/sysop Muddyb Mwanaharakati Longa 12:41, 6 Julai 2024 (UTC)Reply
Nafikiri tunaweza kupendekeza kuwaondoa hao. Idadi itapungua. Muddyb Mwanaharakati Longa 13:51, 7 Julai 2024 (UTC)Reply


Labda sikueleweka. Niliomba kujua kwa nini hao 4 wa mwisho bado wanaonekana katika orodha rasmi. Asante.