Majadiliano:Amra (tunda)
Latest comment: miaka 7 iliyopita by ChriKo in topic Jina la tunda
Jina la tunda
haririMillikan salaam. Kwa nini umechagua "amra" kwa jina la tunda hili? Jina hili linatoka Bangladesh na nchi hii siyo asili ya tunda hili. Ninapendelea "jobo" kwa sababu jina hili linatoka kwa lugha ya Kikaribi katika asili ya tunda. ChriKo (majadiliano) 17:17, 10 Septemba 2017 (UTC)