Majadiliano:Anarchisim barani Afrika
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala in topic Futa
Futa
haririSijachungulia kama mwandishi alitumia google translate. Kwa namna yoyote, matini hii haina maana ikijaa makosa mabaya mno. "Anarchic" inatafsiriwa mara kama "anarchisim" - ilhali tuna makala ya uanakisti, maana hajafanya utafiti wowote. Sehemu nyingine anatafsiri "anarchic elements" kama "mambo ya kishirikina". ""anarchic" features of traditional African societies" ametafsiri kama "baadhi ya "anarchic" makala ya jamii za jadi za Kiafrika". Hii ni haiwezekani. Hajui Kiswahili? Au haelewi hata kidogo anachojaribu kutafsiri??? Ifutwe. Kipala (majadiliano) 23:54, 1 Julai 2021 (UTC)