Majadiliano:Baba Krismasi
Latest comment: miezi 5 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Santa Claus
Santa Claus
haririSanta Claus anahusishwa na mila ya kipagani ambayo haina uhusiano wowote na Afrika kuliko Santa Claus na kati ya Shetani Klampus mpinga-Kristo ambaye kama mzee Mtakatifu Nikolai anayerudi kwa mwanamke aliyeuawa na Yesu katika ujio wake wa pili. Vituzse (majadiliano) 21:09, 26 Desemba 2023 (UTC)
- Ndugu, Wikipedia haiungi mkono mila za Baba Krismasi, wala haizipingi. Inaarifu tu watu kuhusu uwepo wa mila hizo na nyingine nyingi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:23, 27 Desemba 2023 (UTC)