Majadiliano:Bafu
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Etimolojia
Etimolojia
haririSijakuta ushuhuda wowote kuhusu asili ya neno bafu kwa hiyo naondoa "bathroom" kwenye makala. Mimi siijui pia. Kipala (majadiliano) 17:26, 5 Aprili 2018 (UTC)