Majadiliano:Baraza la Kiswahili la Taifa

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala in topic Usuli za Bakita

Usuli za Bakita hariri

Nimeondoa sehemu kuhusu "usuli" kwa sababu

  1. ) ilikuwa na makosa (Zanzibar haikutawaliwa na Ujerumani, hofu ya Umaksi haikuwa sababu ya kuchagua Kiswahili kama lugha za utawala)
  2. ) ilikosa marejeo / vyanzo kabisa
  3. ) ilikuwa na sehemu ya Kiingereza
  4. ) nilishindwa kusahihisha sehemu kwa sababu sina habari kuhusu historia hii. Kipala (majadiliano) 12:28, 7 Januari 2022 (UTC)Reply
Return to "Baraza la Kiswahili la Taifa" page.