Majadiliano:Barua rasmi

hamjambo walumbwi wa lugha? kuna jambo ambalo ningependa kujua, je Recommendation letter kwa kiswahili yaandikwaje haswa mtiriko wake. hili ni jambo ambalo halijawahi kuandikwa kutumia lugha ya kiswahili na hata ukitafuta kwenye tuvuti za guguli, haipatikani

Rudi kwenye ukurasa wa " Barua rasmi ".