Majadiliano:Biolojia

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Tafsiri ya tarehe 18 Oktoba 2010 ya makala hiyo imefuta makala iliyoanzishwa na Kipala mwaka wa 2006. Kwa hiyo, kabla hujaendelea kuhariri makala hiyo, angalia malinganisho kati ya mapitio mawili yaliyopita na kuyaunganisha. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 14:24, 19 Oktoba 2010 (UTC)Reply

BT, unaonekana umesahau ule utaratibu wao. Kamwe hatokujibu na wala hatojua namna ya kulinganisha - na hata akilinganisha maamuzi bado cheche. Ukiona iliyoingizwa haina mwelekeo thabiti kama ile ya awali, basi rejesha!--MwanaharakatiLonga 15:08, 19 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Return to "Biolojia" page.