Majadiliano:Botswana

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala in topic Auwali ?

Zamahani, nimefanya makosa nilivyoandika kwenye ukurasi huu. Mtu yeyote anayeweza kunizaidia kurekebisha ukurasa huu, namshukuru. Nilitaka kuongeza na kusema kuwa nchi moja nyingine iko kando ya mpakani na Botswana. Hiyo nchi ni Zambia na mpaka kati ya nchi hizo mbili ni mfupi sana, meta mia saba tu. /

Auwali ? hariri

Nimerejesha badiliko la Amina maana neno "auwali" halifai hapa. Jinsi ilivyo inaeleweka hata kama lugha inaweza kunyoshwa tena. --Kipala (majadiliano) 13:02, 21 Juni 2009 (UTC)Reply

Return to "Botswana" page.