Majadiliano:Ceuta
Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala
Nashukuru ya kwamba 88.3.17.192 aliweka ramani ya Ceuta. Lakini sioni ni hoja nzuri kufuta jina la Kiarabu. "Ceuta" ni matamshi ya Kihispania ya jina la Kiarabu "sabta". Nimeirudisha. --Kipala 16:53, 2 Septemba 2006 (UTC)