Majadiliano:Chris Brown (mwimbaji)
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Kwa yule aliyeanzisha makala hii. Kamwe huwezi kupata pointi zozote ukiwa hujilikani jina lako ni nani. Umeanzisha makala hii bila kuingia ndani ya Wiki, hivyo haita hesabiwa kama moja kati ya kazi zako ulizochangia wewe. Pili, ni afadhali kutafuta makala kwanza kabla ya kuanzisha makala. Kwa mfano makala hii ya Chris Brown tayari ishaandika na mimi - tazama hapa. Labda ungepanua zaidi ile makala badala ya kuanzisha mpya. Pointi zinahesabiwa sawa tu na yule anayeanzisha mpya! Tafadhalini ninyi nyote mnayeshindana, msianzishe makala kabla ya kutafuta kwanza! Tatu kwa yeyote mwenye swali kuhusu namna ya kutumia "template" au vigezo, basi aulize tu, na ataambiwa! Kazi njema.-- MwanaharakatiLonga 14:17, 23 Novemba 2009 (UTC)