Majadiliano:Chui (Pantherinae)

Latest comment: miaka 13 iliyopita by ChriKo in topic Chui-mawingu?

Chui-mawingu?

hariri

Samahani, lakini sikubali na tafsiri hii. "Chui-mawingu" inamaanisha "chui ambaye anaishi mawinguni". Spishi hii inaitwa "clouded leopard" kwa Kiingereza, kwa sababu madoa yake yanafanana na mawingu. ChriKo (majadiliano) 10:23, 20 Machi 2011 (UTC)Reply

tazama pia "chui-mawingu / ~ wa Sunda", "chui madoa-mawingu / ~ wa Sunda" au "chui-mawinguni / ~ wa Sunda" = (chui ambaye anaishi mawinguni).
Sifikiri kwamba ni lazima kutafsiri neno kwa neno majina ya wanyama ya Kiingereza. Huko Borneo na Sumatra hakuna spishi nyingine ya chui, kwa hivyo nafikiri "chui wa Sunda" inafaa. ChriKo (majadiliano) 22:34, 20 Machi 2011 (UTC)Reply
Naelewa, lakini nafikiri afadhali kutafsiri jina "chui-mawingu" kwa jenasi Neofelis kwa sababu wanyama wanafanana sana.
Rudi kwenye ukurasa wa " Chui (Pantherinae) ".