Majadiliano:Coast to Coast

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Jamani hizi template nyingine zinapatikana hapa. Dawa nzuri ni kuchungua katika makala zilizopo ili kuchungua namna tulivyofanya - kuliko kukandika maneno moja kwa moja. Hii siyo nzuri kabisa. Tunatakiwa tuulize au kama huwezi, basi weka maandishi kwenye ukurasa wake wa majadiliano (yaani, ukurasa wa majadiliano wa makala)! Tukiwa twauliza, basi mengine yatakuwa rahisi kutenda kuliko kujifanyia tu! Hongera. Nitasawazisha baadaye kwa sababu muziki ndiyo makala ninazojua zaidi. Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 04:49, 28 Desemba 2009 (UTC) Reply

Return to "Coast to Coast" page.