Majadiliano:Dapstrem Entertainment
Latest comment: miaka 7 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Je, inatosha? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:40, 23 Novemba 2017 (UTC)
- Riccardo, haitoshi. Lakini naona kama anataka kuwa mchangiaji mkubwa. Labda tuvute subira tuone kama anataka kufanya promosheni au anataka kuchangia? Muda pekee ndio unaweza kutoa majibu mazuri katika hili. Au waonaje?--MwanaharakatiLonga 06:27, 28 Novemba 2017 (UTC)