Majadiliano:Dhambi ya asili
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Nilikuwa nimeanzisha ukurasa Dhambi ya asili ili ku-redirect kwenye ukurasa huu Dhambi ya Asili, lakini Kipala ameufuta. Mambo ni mawili: au tuuandike tena, au tusogeze ukurasa huu ili upatikane: si rahisi mtu kuutafuta kwa kuandika Asili kwa herufi kubwa --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:07, 23 Novemba 2009 (UTC)
- Haya, fanya uonavyo ni sahihi. Ukitaka kusogeza,sawa, ukitaka kuilekeza pia sawa! Mengineyo: nimeona makala hii haitaji dhambi ya asili ni nini? Makala nyingi zinaanza namna hii. Dhambi ya Asili ni jinsi-kadha-kadha na ni.... Hapo je?-- MwanaharakatiLonga 09:32, 23 Novemba 2009 (UTC)