Majadiliano:Dini ya kiislamu

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Tufikie uamuzi

Maandishi hariri

Naona maandishi haya yote yahamishwe kwenda "Uislamu". "Dini" ni istilahi inayohusu aina mbalimbali za imani. Halafu maelezo kuhusu dini zote zilingane na masharti ya kamusi elezo. Vilevile ukurasa huu wa majadiliano haufai kwa mahubiri au mafundisho ya kidini kama hapo chini. --Kipala 09:02, 26 Desemba 2005 (gugu...ahhkk??? wuakwaukUTC)

Nimeyafuta. Matt Crypto 13:18, 21 Aprili 2006 (UTC)Reply

Baki hariri

Makala hii imeandikiwa kutoka maoni ya mwislamu. Wikipedia ina sera ya msingi ya "baki" (Neutrality/Neutral Point of View/NPOV kwa kiingereza). Hatuwezi kuandika kama kanuni za Uislamu (au Ukristo, Uyahudi n.k.) ni ukweli wala kuandika ni uongo. Matt Crypto 13:22, 21 Aprili 2006 (UTC)Reply

Tufikie uamuzi hariri

Naona mara nyingine majadiliano yanabaki kimya miaka, wakati jambo limeeleweka. K.mf. kuhusu kuunganisha ukurasa huu wa ule juu ya Uislamu kadiri unavyoweza kusaidia, mbali na suala la neutrality. Nani afanye? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:01, 26 Desemba 2008 (UTC)Reply

Riccardo, salam. Hata wewe unaweza kuhamisha! Anza sasa ukijisikia!!!--MwanaharakatiLonga 06:44, 22 Februari 2010 (UTC)Reply
Return to "Dini ya kiislamu" page.