Majadiliano:Dinosauri

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Kipala in topic Ngeli

Ngeli hariri

Nimerudisha "reptilia" kama jina la ngeli badala ya "sauropsida". Mimi si mtaalamu lakini nikiangla makala zake kwa en:wiki nona "sauropsida" ni jina nje ya muundo wa uainishaji. Kinyume chake wiki nyingine zinaonyesha reptilia kwa ngeli. Kipala (majadiliano) 10:59, 19 Januari 2011 (UTC)Reply

Return to "Dinosauri" page.