Majadiliano:Diskografia ya Tupac Shakur

Latest comment: miaka 10 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Salaam, BT! Kazi hii tayari nishaianza. Nakuomba uvute subira kidogo kwani makala yake ni ndefu na nimeanza kuichakata nikiwa nyumbani. Nipe kama siku 3/4 hivi. Nitaibandika kama ipasavyo. Wako,--MwanaharakatiLonga 05:31, 17 Septemba 2013 (UTC) Reply

Ndugu, nimefanya kama nilivyoahidi. Ni tumaini langu siku nyingine utanivumilia! Wako,--MwanaharakatiLonga 20:22, 22 Septemba 2013 (UTC)Reply
Return to "Diskografia ya Tupac Shakur" page.