Majadiliano:Dominic Salvatore Gentile
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala
Ifutwe isipoboreshwa karibuni. Jina ni kichekesho - Bwana huyu aitwa "Gentile"!
Kiswahili chake hakieleweki kabisa. Asili ilikuwa makala (sio nzuri kweli..) ya en:wiki iliyotafsiriwa kwa njia ya translate.google; inaonekana haikufanyiwa kazi ipasavyo. --Kipala (majadiliano) 17:11, 19 Desemba 2009 (UTC)