Majadiliano:Dunia
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kwamikagami in topic Kiarabu
Ihamishwe "Dunia"
haririSababu: Ardhi si sayari, neno kwa kawaida humaanisha nchi kavu. Kamusi ya Kiswahili sanifu ya TUKI inataja "sayari" kama maana ya pembeni kwa ardhi lakini "dunia" kuwa ulimwengu; Kamusi ya Kiing-Kisw. ya TUKI inataja wazi kabisa "earth" ni "dunia".
Nasubiri siku moja kama wenzangu wanaona sababu nzuri kupinga hoja. --Kipala 11:45, 12 Februari 2006 (UTC)
- Kwa nini umefuta neno "nchi"? Ndilo jina la Kibantu katika lugha nyingi za jamii hiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:47, 15 Desemba 2019 (UTC)
Kiarabu
haririTafadhali ongeza matamshi ya Kiarabu. دنيا ni dunyaa.