Majadiliano:Elinewinga

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Oliver Stegen

Nimejaribu kupata habari za mtu huyu. Bahati mbaya sijafaulu. Hata jina lake la kwanza sijalipata. Nilivyochunguza kwenye tovuti ya Bunge ya Tanzania [1] hakuwa mbunge tangu mwaka wa 2000 (2000-2005, mbunge wa Hai alikuwa Freeman Mbowe, na tangu 2005 ni Fuya Godwin Kimbita). Nani angeweza kueleza zaidi? Asante! --Oliver Stegen 09:16, 22 Januari 2007 (UTC)Reply

Return to "Elinewinga" page.