Majadiliano:Emmaus Shule ya Biblia

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Lengo la Makala

Salaam ndugu uliyenadika makala hii. Ni afadhali ujiandikishe ili tuweze kusaidiana masuala mengi ya uhandishi - kuliko kuchangia bila kuwa na akaunti. Ili kujisajiri, tafadhali tazama upande wa kulia utaona maelezo yameandikwa Ingia/ sajili akaunti au fungua hapa. Tafadhali zingatia haya..--Mwanaharakati (Longa) 16:30, 27 Mei 2009 (UTC)Reply

Lengo la Makala

hariri

Makala imekuwa na mchanganyo wa maelezo mengine ambayo sioni hata ulazima wa kuwepo. Ukisoma lengo la shule utaona:

Wanafunzi wawili waliosafiri kwenda Emau (Emmaus), Bwana Yesu alipowatokea aliwafundisha mambo yaliyomhusu YEYE MWENYEWE; Luka 24:27. Hilo ndilo lengo kubwa la shule ya Emmaus: Kuwafundisha mambo yanayomhusu Mwokozi, na kuwaelekeza jinsi ya kukutana naye ili waweze kusema pia, „Je! mioyo yetu haikuwaka ndani yetu hapo alipokuwa akisema nasi njiani, na kutufunulia maandiko?“ (Luka 24:32).


Bado haitoshelezi kuelezea dhumuni la shule. Kwa sababu kilichoanza kulezwa ni kisa na sio lengo la shule. Panatakiwa masawizisho ya haja. Hii ni kazi ya mwandishi husika na makala hii na shule. Ni dhahiri anayeandika haya ni mmoja kati ya watu wa shule hii. Pia inatakiwa ifuate taratibu za Kamusi Elezo. Kwa sasa nitamweleza muhusika, akionekana kutofanya mabadiliko katika kipengele kilichotajwa hapo juu, basi nitasawazisha! Wenu kijana mtiifu,--Mwanaharakati (Longa) 16:06, 29 Mei 2009 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Emmaus Shule ya Biblia ".