Majadiliano:Etimolojia ya neno Zanzibar
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Kuna sababu ya kuita Etimolojia ya neno Zanzibar? Si afadhali iitwe tu moja kwa moja: Asili ya neno Zanzibar?--MwanaharakatiLonga 05:29, 20 Mei 2010 (UTC)