Majadiliano:Fizikia ya nyuklia
Latest comment: miaka 7 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Nyuklia - kiini cha atomi
Nyuklia - kiini cha atomi
haririMatumizi ya "nyuklia" hapa si jinsi tunavyoitumia hadi sasa katika wikipedia. Maana tumetumia hadi sasa "kiini cha atomi" kwa "nucleus" ya atomi. Nyuklia inataja mambo ya utafiti an nishati ya mambo ndani ya atomu kwa jumla. Hii inahitaji ama sahihishio ya makala nyingu au tubadilishe. Kipala (majadiliano) 20:57, 8 Julai 2017 (UTC)
- Samahani, sijaelewa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:07, 9 Julai 2017 (UTC)