Majadiliano:Futiboli ya Marekani
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala in topic Futa
Futa
haririMakala ni tafsiri mbaya ya kompyuta iliyoleta maudhui yasiyoeleweka. Ilhali mada ina maana, si vibaya kama mhariri anajitolea kuoka makala. Lakini bila masahihisho heri ifutwe. Kipala (majadiliano) 10:22, 14 Desemba 2020 (UTC)